Mungu akatende juu yao[emoji120][emoji120]Vijana wetu wako makini sana hawa. Kesho na kesho kutwa tutakuja kupata raisi humu au angalau waziri. Tuombe tu wakifika huko wasije wakakana kuwa hawakuwahi kujiunga JF au kuwa katika uzi huu. Tuendelee kuwaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana bro ubarikiwe sana[emoji120][emoji120][emoji120]Vijana wetu wako makini sana hawa. Kesho na kesho kutwa tutakuja kupata raisi humu au angalau waziri. Tuombe tu wakifika huko wasije wakakana kuwa hawakuwahi kujiunga JF au kuwa katika uzi huu. Tuendelee kuwaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kungekuwa hakuna ban ningerusha picha moja hapa nilikokuwa laivu kabisa bila chenga. Dunia hii wacha tu...Naona jimama limekuachia leo[emoji23][emoji23][emoji23].
Tunakupenda pia msukuma,baraka na zikawe kwetu sote[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]. Ukoo uko salamaNaona kasavaivu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kungekuwa hakuna ban ningerusha picha moja hapa nilikokuwa laivu kabisa bila chenga. Dunia hii wacha tu...
Unaogopa ban??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kungekuwa hakuna ban ningerusha picha moja hapa nilikokuwa laivu kabisa bila chenga. Dunia hii wacha tu...
Mwambie aache uwoga bhana,anaogopaje ban[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ntaivurumisha kweli ohoooo !!![emoji23][emoji23][emoji23]Unaogopa ban??
Acha kutunyima uhondo bhana[emoji23][emoji23]