Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kazi sana yaani...Wanasema jamaa ni baunsa na walisha mung'unyuana kweli, walisha gombana ila jamaa kaamua kujilinda kabla Mamba hajamtaja kwenye orodha iliyo kuwa inafuata
Huu Uzi umefutwa sijui ulikua na shida gani?
Aifoni mbona siioni?
Aifoni mbona siioni?
Ombeni sana ili mje mpate watoto waliosimama katika kweli na heshima ya Mungu. Kuzaa toto la kiume halafu likageuka kuwa James Delicious lazima kunauma sana.Huu Uzi umefutwa sijui ulikua na shida gani?
Mi naitaka tu hiyo aifoni. Mengine hayanihusu. Nimechoka na TECNO kamanda!
Mimi nipo poa kabisa. Mtoto na mama hawajambo kabisa. Vipi maparachichi na bamia huko shamba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakushauri urudie darasa, soma hata darasa la 7D ili ufeli feliiii hata miaka minne.
Habari ya majukumu kiongozi?
Mungu ni mwema siku inaenda vizuri kabisa
Mi naitaka tu hiyo aifoni. Mengine hayanihusu. Nimechoka na TECNO kamanda!
Poa kabisa naona watu mnasogeza uzi. HongereniMkuu za kupotea
Heeh kumbe nimekosea jukwaa
[emoji125][emoji125][emoji125]