Nawaona Big Doggy Pose na Sugu kwa mbali,,
Juzi kati alikuwepo bongo,,kama miezi mitatu imepita sasaSure ni faza now alafu hakuna mtu anajua taarifa zake kabisa labda watu wake wa karibu sana na bongo naona hataki tena kurudi
Mzee upo vizuriKaribu sana...
Hiyo miziki tumeanza nayo, walianza kwa instrument za nje wenyewe wakawa wanarap kwa Kiswahili (Jabir ni mmoja wapo) baadaye ndo kizazi hicho cha akina Sugu, Diplomatz,WWA na wengine... Baada ya muda tena kikaja kizazi cha akina Pro. J, Ins Harun, Kiroboto na wenzao kabla Mb dog hajauharibu muziki. Mb dog ndio chanzo cha kuimba kwa kubana pua... Ila sikumbuki vizuri umri umeenda.
Ata mimi kanishangazaMzee upo vizuri
Au ndio alikuja kwaajiri ya msiba?Juzi kati alikuwepo bongo,,kama miezi mitatu imepita sasa
[emoji4][emoji4][emoji4]amwombe Mungu asiugue aisee anaeza bakia kama toothpick[emoji16][emoji16] ndio mwili wake ulivyo
Maisha yanenda kasi sana
Good good ausioIpo good
Kabla ya matokeo ya jana eeh