capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji120][emoji120][emoji120]
Habari mkuu?You are Everything To Somebody
Right now at this very minute-----------
someone
is very proud of you
Fatal heart attack at 47. Too early walahi...Rip Kim Porter
Nope !!!
Bashite atatumaliza. Fulu kukurupuka. Kila kitu kwake ni imejensi. Anaanzisha hili halifiki popote anadandia jingine. Ishu zingine zinataka utulivu sana na busara.
Ishu hii ni ngumu sana. Inataka utulivu na hekima.Wayahudi na mnaowaita “mashoga” kwa mtu mwenye exposure unatakiwa jua hizi ni jamii mbili zenye nguvu sana duniani. Unatakiwa jipanga haswa kuwagusa. Kilichofanyika was unnecessary, Praying tuvuke hili salama
Si ajabu ndiye umeidizaini na ndiye mmiliki wake. Haina mizengwe yo yote niijaribu? Haya mambo ya Western Union yanachosha