Mimi huwa ananichekesha anavyosema naendelea hapo chiniHuyu jamaa kajaa usanii mtupu,sijui kama ni kweli watu wanamsaidia kama anavyodai
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila uzi unao husiana na diamondi humu, wewe ni mpole kuliko wasichana wote Jf. Tatizo Mondi.... Sijui alikukosea nini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah aiseee kama najiona vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu ndio undugu wa kweli sasaNaomba utuvumilie tu, huyu ni mdogo wetu hatuwezi kumuacha apotee. Kijana wetu ni mpole sana, naomba umuelewe. Sio kwamba ni mwoga kujieleza jambo linalo mkabiri ra hasha,ni mzito hasa kwa kitu/mtu anaye mpenda, si unajua vijana hawa mahendisamu wanao jielewa huwa wanakuwa hawana papara kwa kuogopa fedheha... Ewaaa hapo umenielewa sasa, ndivyo alivyo mdogo wetu. Ila ni mchesi sana, hata ukimchokoza kwa vimaneno vya kichokozi sio mbaya...
Karibu sana Mwakaleli consuela, nina mengi ya kukusimulia (ni utani tu) juu ya mdogo wetu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Heri ya mwaka mpya binti yangu mpole, kila lenye heri likawe upande wako
Amina. Heri ya mwaka mpya ikawe kwako pia. By the way ahsante kwa kunipa intro fupi ya kijana mpole [emoji23][emoji23]Naomba utuvumilie tu, huyu ni mdogo wetu hatuwezi kumuacha apotee. Kijana wetu ni mpole sana, naomba umuelewe. Sio kwamba ni mwoga kujieleza jambo linalo mkabiri ra hasha,ni mzito hasa kwa kitu/mtu anaye mpenda, si unajua vijana hawa mahendisamu wanao jielewa huwa wanakuwa hawana papara kwa kuogopa fedheha... Ewaaa hapo umenielewa sasa, ndivyo alivyo mdogo wetu. Ila ni mchesi sana, hata ukimchokoza kwa vimaneno vya kichokozi sio mbaya...
Karibu sana Mwakaleli consuela, nina mengi ya kukusimulia (ni utani tu) juu ya mdogo wetu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Heri ya mwaka mpya binti yangu mpole, kila lenye heri likawe upande wako
Yea kuna jamaa alianza na komenti ya kwanza kwa kutukana, kaishia kuwa mhubiri na kuwaombea watu waache lugha chafu na kuheshimu wazazi ili wauone ufalme wa Mbinguni. Nikabaki namshangaa,lakini alikuwa ameguswa na yaliyo mkuta aliye kuwa anamtusi hadi akaanza kumuonea huruma tena.
Kuna haja ya kujaza mikataba, watoto wetu wamekuwa manunda sana[emoji1][emoji1][emoji1]Duh aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji261]
Majani mabichi, faida yake imeelezewa humu jamvini