Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama na kuelewa mkuuu

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
capitalpool maana ya neno fekero binafsi sijui labda kama kiranja anayo ....

Ila ni jina linalotumiwa kwa IDs 'fake', unakuta mtu ana ID tuliyoizoea halafu anakuja kimkakati kwa ID mpya.Hii ID mpya ndio inaitwa fekero.

Kama nimekosea anayejua zaidi atanisahihisha.
 
Fekero ndio nini?
Ni ID mpya/bandia ya mtu uliyemzoea. Ukiona ID mpya inakufuata PM au inakufollow from nowhere basi likely ni fyekero. Au ID mpya inavamia uzi na kujifanya imekaramka hata kuwazidi wenyeji basi likely hilo ni fyekero...

Yote kwa yote haina madhara kwani tupo mitandaoni humu kufurahishana, kujifunza, kuburudishana; na mengineyo ila kama alivyowahi sema my man Mkwere the coolest prezidaaa evaaa akili za kuambiwa always changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…