Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakinipi shida sana, naweza kumuelewa mtu akizungumza.

Mf. hapo umeuliza "UNASEMA NINI/UNASEMAJE/UNAZUNGUMZA NINI" kitu kama hicho.
Umekulia BK halafu "naweza kumuelewa mtu akizungumza" tu? Mimi nilikifahamu kabisa mpaka cha ndani ndani huko Kanyigo sema miaka imepita bila kujizoeza ila naweza kupick up kwa haraka sana na demu wa Kihaya akijilengesha namwimbisha tu bila noma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…