Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ningeona maajabu bro,misingi yetu lazima ibaki palepale[emoji23][emoji23]
 
Kweli kabsa,,wanajari sana tamaduni zao.
 
Selous Game Reserve ina kila kitu, yani mpaka tunajiuliza tuendelee na hifadhi ya wanyama, tuchimbe Urani kwenye mto Mkwiji, Tujenge bwawa la maji ya kunywa ya Kidunda, Tujenge Bwawa la umeme la Steiglers.
Yanaweza kufanyika yote na hifadhi ya Selous ikawepo kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…