Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Like 1000 zote zako mkuu moudgulf:Hapa ni jumba la furaha, uzi huu pamoja na urefu wake haujawahi kusababisha kufungiwa yeyote.
Kikubwa ni kujuana, kuzoeana.
Kama siyo fyekeleo karibu jifunze tabia za hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema bro..kwema huko??
Weekend inaendaje huko
Nope! Programming.Software programming?
seriously🤔🤔🤔🤔[emoji818][emoji818][emoji818][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1000210
Hahahahahahaa anko banaYaruhusu magumu yapite, hatuwezi kuyatatua yote sawa mamaangu. Mambo mengine yanaisha kwa kuyaweka wazi kwa mtu wako aliye jirani, unao majirani wengi sana humu, niwe mkweli wanasaidia sana. Ongea na Pyaar, ongea na Shimba, ongea na Myoya, ongea na Yego, ongea na carba, ongea na..... Wapo wengi sana.
Mimi usijaribu, maana bado lile somo la mlonge sijalifanyia majaribio,natafuta konokono....
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1734][emoji1734][emoji1734]seriously[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
aisee haka katoto kanaitwa nan kwa majina