Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

16.Moyo wa Nyangumi umegawanyika katika sehemu nne, na mshipa mkuu wa moyo yaani "aorta" ni mkubwa kiasi kwamba mtoto anaweza kuogelea mpaka ndani yake.
 
22. Kwa ukubwa wake Nyangumi binadamu wameweza kutengeneza hata hadithi ya kwamba anaweza kutengeneza kisiwa na binadamu wakafanya shughuli zao juu ya mgongo wake mpaka hapo atakapoondoka, ifahamike hadithi hiyo haina ukweli kuhusiana na maisha ya mnyama huyu, ni utunzi wa kufikirika tuu.
Pengine utakuwa umeshajiuliza ya kwamba sasa kama Nyangumi na sifa hizo zilizoainishwa inakuwaje pindi vinapopita vyombo vya usafiri kama meli, boti nk, au unaweza jiuliza je Nyangumi hula watu ! Au ukataka kujua kama ni mkorofi au lah !
 
Basi majibu ni haya Nyangumi ni mnyama mkarimu na mstaarabu sana wala hawezi kufanya uvamizi kwa binadamu, na hata aonapo vyombo hivyo vya usafiri huvipisha na kwenda kando, na hutambua kwamba binadamu hupenda kuwatizama basi agunduapo vyombo hivyo pamoja na kwenda mbali, huanza kufanya mbwembwe ili mumuone ikiwa ni pamoja na kuogelea, kurusha maji na kuurusha mwili wake
 
Na mwisho Nyangumi pamoja kwamba ni mnyama mla nyama lakini hali binadamu, natambua uoga wa waTanzania wenzangu ! Ukiwa kwenye meli akajirusha unaweza zimia kwa presha kumbe wala kiumbe wa watu hana hata shida na wewe na anataka ufurahi kumuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…