Duh aiseee utajiri nje nje hapoMifupa ya nyangumi mmoja.View attachment 1003339View attachment 1003340
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shiidaa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brooo...unaua soo bana...
Kakimbaumbau kasipokuwepo unakuwa ndugu. Kakija tu unatuponda...jamaniii....
Hahahah nisamehe bro,haka kazaramu kakija huwa kana kuja na nguvu flan hv,nashindwa jizuia,,Kuanzia leo ubroo unakufa aisee...
Unatuponda na muda si muda nawe tunaweza sikia umekwama Mwanza kama yule dogo....
Hahahaha watu wanadiscuss mambo mengine kabsaSwala la Kamari rais amelisikia na Waziri mkuu amesikia. Vitabu vya dini zote haviruhusu - JamiiForums
Nimeanzishiwa uzi aiseeee ,comment ya tano ikageuka uzi uwii
Welcome sana huku pazuri sana mpaka davet kafichwaaaa chezea kona ya bwiru weuweeeHahahah nisamehe bro,haka kazaramu kakija huwa kana kuja na nguvu flan hv,nashindwa jizuia,,
Huko Mwanza,,nipo karbun kwenda na mm nasubiria mwaliko kutoka kwa binti mpole Numbisa
Aliyeanzisha uzi maskini post yake ikafutiliwa mbali mods wakanibambikizia huo uzi daah msala huuHahahaha watu wanadiscuss mambo mengine kabsa
Welcome sana huku pazuri sana mpaka davet kafichwaaaa chezea kona ya bwiru weuweee
Heh,umebambikiziwa uzi,mm nachek hata sielew,naona chenga tuAliyeanzisha uzi maskini post yake ikafutiliwa mbali mods wakanibambikizia huo uzi daah msala huu