Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera sana BL, Mungu akampe afya njema Anko wangu na maisha marefu. Naamini mpaka mwaka 2021 uzi wetu bado utakuwepo nae atakuwa ameanza kukandamiza "milaiki" kwa niaba yako.
Hongera sana tena....
Kizushi tu ngoja nikaangalie post zako za mwaka jana mwezi Aprili mwishoni maana ilikuwa ni kipindi cha "kilimo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ilikuwa ni mwendo wa "parachichi" na konokono" jua lenu giza lenu... Hatimaye umevuna mama.
Kama hautajali, kwa upendo tu kwa Anko wangu, nionyeshe njia ya kumpitishia salamu yake.
 
Mungu hajawahi kumuacha mja wake kwenye mateso...
Hatimaye unaondoka kama ulivyo kuja...
Kwa heri ndugu yetu, mapenzi yametimia...
Mungu atupe afya njema na pumzi ili utakapo rudi utukute tukiwa imara...

Nenda na mateso yako[emoji120][emoji137][emoji137][emoji137][emoji119][emoji119]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamani acha tu mavuno ya mvua za April hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilishtuka nikafikiri niagieni ya ukweli ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hongera sana mama kachanga
 
Mungu akanyoshe mkono wa Baraka kwenye familia yako [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…