Shingo yake tu!
Asanteeeeewafanyakazi poleni sana
Tunaolima maua pia?poleni wakulima wote
🤣Hahahasina uhakika. weka likes tuone......
Inawezekana hebu weka like 100 hivi tulinganishe😀Nahisi huu ndio uzi pekee hapa jf ambao una comments na likes nyingi kuliko uzi wowete ule[/QUOTE
Mungu ampe ujasiri...Mtihani mkubwa sanaWameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578
Bundi.. ....etcBREAKING: Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameagiza vyombo vya usalama kumchunguza, harmonize_tz kama anatumia bangi au lahh! ili achukuliwe hatua za za kisheria.
Ikumbukwe kuwa Mkuu huyo wa Mkoa ni Mlezi wa WASAFI inayoongoozwa na Diamond Platinumz ambayo Harmonize ni moja ya member wa kundi hilo. View attachment 1009638