Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha bro bhana,na ww ukaridhia kabsa kuona bwana mdogo wako waifu wake anaondoka hv hv tena kweupe kama ulivyosema hapa,,ungepambana bro
 
Tulipambana sana lakini ikashindikana. Kademu kenyewe kalikuwa kameshupalia sana talaka so evenchuale tukagivapu. We fought a good fight...and we lost [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu kizuri ni kuwa bro sasa yupo na aman sana,yy mwenyew anadai ni kama amezaliwa upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…