Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zilikua sehemu za kuzoa magonjwa ya ajabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mlikuwa mnakwenda kujitibu kwa wale akina mama? Nakumbuka vijana kijijini walikuwa wanachemsha jungu kubwa la mitishamba halafu linaachwa nje hapo tu. Ukiona kesho yake mtu anakuja kufakamia basi unajua kuwa amewatembelea akina mama na hali siyo nzuri. Maisha ya hatari sana yale ....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hayo yote ni kwa zile bao 5 za jana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bahati nzuri UKIMWI haukuwepo vinginevyo sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zilikua sehemu za kuzoa magonjwa ya ajabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimekubali bila chembe ya shaka.
Ndiyo....Unapigwa leo mtu anakucheka naye unamkumbusha kuwa naye alishawahi kudundwa pia tena zaidi yako. Sijui hii itakusaidiaje kama wewe. Wabongo tuna maisha safi sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hayo yote ni kwa zile bao 5 za jana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapo hasongi ng'o [emoji16][emoji16][emoji16]
Enzi hizo[emoji16][emoji16][emoji16]Wahenga enzi zetu tulifaudu....
Wakiletwa mademu wa Ngaza au Bwiru Girls uwiii !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1012717
Ujumbe muruaPanya alimeza dhahabu ya boss wake, ikabidi boss amuite mfanyakazi wake na kumwambia aitafute panya hiyo na kuiua.
Yule mfanyakazi baada ya kufika, aliwakuta panya wengi wamekusanyika sehemu moja isipokuwa panya mmoja alikuwa amejitenga, alikaa zake pembeni.
Basi yule mfanyakazi akamtageti yule yule panya aliyekuwa amejitenga na kumuua, walipo mpasua, kweli waliikuta dhahabu ndani ya tumbo lake.
Yule boss alistaajabu na kumuuliza mfanyakazi wake kuwa umejuaje kuwa panya aliyekuwa amejitenga ndoo alikuwa amemeza dhahabu?
Yule mfanyakazi akajibu akisema "ilikuwa ni rahisi kugundua kwani Sikuzote mtu masikini anapokuwa tajiri ghafla hujitenga na wenzake.
Bahati nzuri UKIMWI haukuwepo vinginevyo sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo....Unapigwa leo mtu anakucheka naye unamkumbusha kuwa naye alishawahi kudundwa pia tena zaidi yako. Sijui hii itakusaidiaje kama wewe. Wabongo tuna maisha safi sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
πππWanamuagiza mhudumu aniletee kasto laiti, kwanini? Kimpumu hamna?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeona ile dressing table kule?Oyaaaaa...View attachment 1012719
Sijatazama vizuri. Kuna nini huko bro?umeona ile dressing table kule?
Baridi hii inaua. Poti chukua tahadhari ...View attachment 1012675
Ni hatari sana. Vijana wanadhani wako invincible masikini. Wapumzike salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Halafu huyu ni wa pili, alianza huyu hapa. Mwanafunzi wa University Of Iowa!
Sad to report that 2018 Alum Gerald Belz passed away last night. Our condolences to the Belz family. Please keep his family in your thoughts during this difficult time