VisionThe founders of Google were willing to sell Google for $1 million to Excite in 1999, but Excite turned them down. Google is now worth $527 Billion.
Na wewe sasa umekuwa tatizo!Ha ha
Nipo napambana anko,kwa hyo anko hadi uje ukiwa umemshika mkono kweli??si ntaonekana domo zege anko
If they had bought it, they could have run it down. Things happen for a reason...ALWAYS ...Vision
Wazigua hao? au wasambaa?
Nenda naye pole pole. Bro wangu yule mwingine huoni imemchukua miaka lakini evenchuale kajipatia aliye wake sasa hivi haoni wala hasikii 24/7 parabozi za mapenzi tu...Na wewe sasa umekuwa tatizo!
Ninakuletea mtu hadi ulipo bado utashindwa kumalizia?
Nitamleta tu, hata kwa kimya kimya mnataelewana. Au la namwambia kabisa "huyu ni ankoo wangu, hajui kutongoza kabisaaa... Sifa yake kuu ni mtaalamu wa kuzunguka na kona ya bwiru"... Naamini hatapinga akisikia kona ya bwiru [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Uwiiii.. wakipima DNA baadae balaaa nyumbaniOn average, 12 newborns will be given to the wrong parents daily.
Hahaha ili umalize hela zoteThere are no clocks in Las Vegas gambling casinos.
It is beautiful out there in the Universe.. Mungu MkubwaThere are more stars in space than there are grains of sand on every beach in the world.
What is going on?
I see 6 packs
Yes.. All the timeIf they had bought it, they could have run it down. Things happen for a reason...ALWAYS ...
Hahahaaa jamani!Kwema ndugu yangu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1014262
Hahaha floaters?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1014292
Na kweli, kwa shiro sijui alishindwa wapi? Sasa hivi shiro namuona na dingimtoto shwaiini zake...Nenda naye pole pole. Bro wangu yule mwingine huoni imemchukua miaka lakini evenchuale kajipatia aliye wake sasa hivi haoni wala hasikii 24/7 parabozi za mapenzi tu...
Ila huyu kwa Shiro aliniangusha sana mpaka roho inaniuma yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunategemea kuona mabadiliko toka kwako kama ulivyopromise kuleBwana mdogo kumbe yuko vizuri sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaha tatzo sio konokono bro,,konokono ni habar nyingine ile hahahaHamna. Wakati mwingine we ndo unaanzishaga kabisa na kenyewe sasa ndo kanaanza kujishebedua...
Haya mambo bana we acha tu. Hata huyu dogo naye juzi juzi hapa kakwama huko anafakamia konokono ya dada zangu Wasuku halafu bado anatuponda dah! Roho iliniuma ila basi tu. Iweje konokono ya washamba ikutie ushamba mpaka uhame kwenu na kukatalia huko kwa washamba? Hovyo kabisa nyie vijana [emoji16][emoji16][emoji106]