Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu mtawezana kabisa poti. Pyaar mpole mtulivu ila wewe sidhan maana wagumu wakishalainishwa tu yelewiiiii wanakua na ID tele kama mama wallah[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Numby bwana..Usimdanganye dogo ataambulia vitasa deileee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha hizo tabhani...Lini mgumu akang'amua jambo zito namna hiyo??

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji1][emoji1][emoji1]... Tabhani ana darasa la Critical Thinking 101 Semester hii. Anayaangalia mambo kwa jicho la tatu, ameling’amua hilo! [emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kukatwa mitama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kupigwa ngeta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyeelewa amueleweshe pootiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule jamaa naye ukimfumania utamuacha kama alivyo hata akuombe msamaha vipi na unampenda kwa moyo wako wote kabisa kabisa gete gete nkoyi wako?
Yule jamaa nikimfumania nitahisi kateleza tu, hivyo nitamsamehe hata kabla ya yeye kuniomba msamaha..

Ndiyo nampenda kwa moyo wangu wote gete gete...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…