Kwakweli hata akibahatisha kuchukua kombe hilo kutimuliwa bado kuna muhusuSarri mwenyewe amefichua kwamba anafahamu wazi atafutwa kazi tu kama Chelsea itafungwa tena na Manchester City kwenye fainali ya Kombe la Ligi.
Hii safiMasharti matatu ya Zinedine Zidane kwa Chelsea, mojawapo ni lile la kutaka apatiwe Pauni 200 milioni za kufanya usajili wa mastaa wapya.
KweliPesa hiyo ni ndefu na itamfanya Zidane awe na uwezo wa kukibadili kikosi hicho cha Stamford Bridge na kuifanya The Blues kutokuwa timu ya mchezomchezo tena.
😀😀😀😀 the original.Unachokitafuta utakipata mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
AseeeRipoti zinadai kwamba wachezaji ambao Zidane atahitaji waje Stamford Bridge ni Mauro Icardi, Isco, Kalidou Koulibaly na Alex Telles, ambao watagharimu Pauni 291 milioni.
Upendo udumu mileleMD?
Maelezo safi kabisa. Uzi huu una watu wa kila aina kuanzia ma-Lucifer mpaka waponyaji. Na tofauti zetu hizi ndizo zimeufanya uzi uendelee kunoga pamoja na mikwaruzano ya kawaida ya hapa na pale (cc. Timu Roho Mbaya). Ndiyo maana jirani huwa anasisitiza mara kwa mara kuwa kila mtu ana umuhimu wake. I love you guys [emoji1545][emoji1545][emoji1545]