Jirani kumbe! Leo tunalipa fadhira!!Leo ashinde Man u tuu, mimi ni city.
Nimecheza mpira kwa miaka 12,niliachana nao baada ya kuvunjika mguu, nikabaki na ushabiki na mapenzi tu. Ushabiki ukakoma baada ya Man U na Yanga kuanza kufungwa hovyo,na mimi nina hasira sana, nikaona nikae pembeni tu.
Umenifurahisha sana Bro,
Me pia ni shabiki wa timu sio mpira ingawa napenda sana mpira.
Sipotezi muda na timu nyingine zikicheza hata kama ni Man City VS Liverpool siwezi poteza muda!! Naskilizia matokeo tuu
Ila Man U hata kama anacheza na West harm, naitafuta game mpaka nimeitizama ndo naridhika!!!
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.Salama kabisa bro.
Nimeamka mzima kabisa.
DuuWikendi ya matunda [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1030480
Vizuri sana,Nimecheza mpira kwa miaka 12,niliachana nao baada ya kuvunjika mguu, nikabaki na ushabiki na mapenzi tu. Ushabiki ukakoma baada ya Man U na Yanga kuanza kufungwa hovyo,na mimi nina hasira sana, nikaona nikae pembeni tu.
Namshukuru Numbisa kwa taarifa anazoziweka humu, lasivyo sijui hata kama ningekuwa nawajua wachezaji