Hahaha nimesahauUmeshaisoma?ππ
unataka kupendwa na Lucifer? hataree..Lucifer Original kamwe hatoi likes...
#BringBackOurISISWallahi#
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£ basi sawa.. ila sisukagi mieSiku ukihitaji kufumua muambie bro SHIMBA YA BUYENZE
Unakula raha gani mwenzetuUsiku uwe wa burudani na raha
Kumumunyxxxa pipii...Unakula raha gani mwenzetu
Hahaha kumbe yalikusibu!Bro usinisakizie. Sitakaa nisahau mkasa ule wa nywele. Mwezi mzima nanyimwa mbunye kisa nywele. Na kuanzia siku hiyo sikuruhusiwa tena hata kunyoa nywele zo zote mwilini mwake wakati huko nyuma ilikuwa ni kawaida...
#KamweUsichezenaNywelezaMwanamke#
Dah wati happened?hahahahaha, hiki kisa kinanifurahishaga sana nikikikumbuka.Fraga hana shida ππππ
Afadhali umeuliza..maana kuna teminoloji humu jf zinahitaji kamusihii TRM ni nini hivi?ππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£... anonimas foreva!TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
SIWAPENDI
Hahaha pole na stareheKumumunyxxxa pipii...
Alileta i phone eeeh...Pyua Waifey Matirio [emoji818][emoji818][emoji736][emoji736][emoji1545][emoji1545]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Mabinti wa hivi ni nadra sana hasa siku hizi. May God bless you Nicolle [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1032213
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thenki yuuHahaha pole na starehe