😀😀😀😀haya ushakumbushwa sasa.Hahaha nimesahau
R.I.P Ruge!!TANZIA : Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ltd. Ruge Mutahaba amefariki Dunia jioni ya leo nchini Afrika Kusini. Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi..
😀😀😀😀haya ushakumbushwa sasa.Hahaha nimesahau
Bro SHIMBA YA BUYENZE dada anauliza bro.Dah wati happened?
Hii namba niliitaka sana. Bahati mbaya nimekuwa na siku ngumu kabisa.Hossam Hassan Hussein
Mwaka 1966 katika nchi ya Misri alizaliwa gwiji huyu ambaye mpaka leo ameacha alama katika kikosi chake cha timu ya taifa akiwa mfungaji bora wa kipindi chote katika timu hiyo akifunga magoli 70 katika michezo 169 aliyoichezea timu ya Misri akiwa mshambuliaji.