Na mimi ndio nilikua nasikia hivyo pia ndio ukweli ulivyokua lakini kwa nilivyomuona leo naona hali ni tofauti, jamaa yupo rafu sana, yupo tungi alafu anatoa zile tano zake kwa kila mtu mixer kupiga mistari hadharani. nahisi life limekua gumu upande wakeKafanyaje mzee??yule jamaa kwa sasa silisikia ni answali sunna mzuri tu,hadi kiremba anavaa,,suluari fupi ndio zake
Wanasemaga hizo points ni kama funguo malaya (master key). Zinaingia popote na hazijawahi kumwangusha mtu [emoji16][emoji16][emoji16]Kwenye causes nilikua nazionea forced labpur,land alienation hahaha hata kama hazihusiki. Death,drought etc aiseee