Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tume hiyo imekutana na kujadiliana na wanachama wa Baraza la watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (Nacopha) katika kile kilichoelezwa ni kubainisha changamoto zinazowakabili watu hao.
 
Baadhi yao wamedai ingawa Serikali imekuwa ikigharimia huduma za dawa kama zile zitumikazo kufubaza makali ya virusi vya ukimwi (ARV), bado viwango vya unyanyapaa vipo juu.
 
Mie ninachofurahia karudi hatimae baba Bismarck ataachia achia namba ili tupunguze kuzisoma maana waliyemsaka kwa udi na uvumba karudi
Huyu jamaa alikua anahangishwa na tamaa zake za kukalia kiti cha Magogoni sasa keshaona hana lake tena.
Watanzania watafanya makosa makubwa kuwaani wanasiasa kama hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel Msinga alisema anashangaa kuona jamii ikiendelea kuwatenga na kuwanyanyapaa wakati Serikali imewatambua kwa kuwapa matibabu.
 
Kwenye maeneo yetu ya ibada unyanyapaa bado uko juu…mimi nawashangaa iweje wanashindwa kutukubali wakati serikali imeshatutambua na sera inasema wazi. Na hapa nazungumza mbele ya vyombo vya habari waelewe kwamba sitajificha nitaendelea kusema kweli na kutoa elimu,”alisema.
 
Baadhi ya wazungumzaji waliwalaumu wazazi wanaofisha kuwaeleza ukweli watoto wao ambao wamezaliwa na maambukizi ya virusi vya HIV. Walidai vitendo vya namna hiyo vinapandikiza tabia ya unyanyapaa kwa watoto.
 
Mie ninachofurahia karudi hatimae baba Bismarck ataachia achia namba ili tupunguze kuzisoma maana waliyemsaka kwa udi na uvumba karudi
Huenda ikawa hivyo,
ila huyu mamvi amesababisha matatizo kwa watu mbalimbali waliompigania sidhani kama hayo ndiyo malipo yanayofaa kuwapa wafuasi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ikawa hivyo,
ila huyu mamvi amesababisha matatizo kwa watu mbalimbali waliompigania sidhani kama hayo ndiyo malipo yanayofaa kuwapa wafuasi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa kavunja moyo wengi poor mbowe katumiwa na kuachwa akiwa gerezani. Slaa huko aliko full kicheko. Lissu kwake furaha pia maana nafasi ya uraisi ipo peupeee kwa upande wake
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Lowasa nilimkataa, nilizozana na watu huko zama za ujio wake, nikiamini hakua mtu sahihi, subiri nikaone wanachosema sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa ulipo tupo wapo kwenye harakati za kubadili ID aiseee. Nasubiria komenti ya BAK atakayeiona sreenshot pleaseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…