Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisaa kavunja moyo wengi poor mbowe katumiwa na kuachwa akiwa gerezani. Slaa huko aliko full kicheko. Lissu kwake furaha pia maana nafasi ya uraisi ipo peupeee kwa upande wake
Mbowe na wale waliomuunga mkono kwenye mradi wao ulioangalia maslahi ya siku chache ndiyo walioiumiza CHADEMA.
Tangu mwanzo Lowassa alionekana ni mtu mwenye kupigania nafsi yake, kwa kisingizio cha kuwapigania watanzania
 
Watakwenda ambako kuna uwezekano wa kupata kamlo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ