Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh!!Hiyo stori nimeiona kwa carry.
Inavyosemekana huyo mtoto ni wa mpendwa wetu aliyetangulia.
Kaanza kupewa vitisho hakuna kufanya interview na yeyote.
Carry anawataka mawingu wampe child support maana mzee baba ndo kashasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma sana,,humu kuna matapeli sana,,12K inauma bro. Jamaa kaamua kujiripua
[emoji818][emoji818]
Mwili haujengwi kwa matofali [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1036899
Hahaha kolomije moja hii
🤣🤣🤣Haondoki mtu kwenye huu uzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1036901