myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mh!!!Nshomile bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1036848
Mmh jamani mtuwache sekandi boni..tuko poa tuSiyo kweli
View attachment 1036906
No quitting until the fat lady sings
Kumbe na wewe ulishalizwa? Pole sana bro...Inauma sana,,humu kuna matapeli sana,,
Kuna jamaa alinipiga 5k,alikuja na story ya kukuunga na kifurushi cha internet,,kwa wk unapata gb13..hl tangazo aliliweka kule kwenye teknolojia na kwenye uzi flan hv wa series,,jamaa hadi leo hajaniunga hlo bando,,
Sema utapeli mwingine ni kujitia nuksi tu,,imagine km huyo aliyenipiga 5k au huyo wa 12k,,sasa hzo pesa atatumia kwa muda gani??akijibana sana anaweza tumia kwa siku moja then njaa inarud palepale,,
Utapeli wa namna yoyote ile ni kujitia nuksi,balaa na kujiongezea matatzo tu
🤣🤣 Pole lakini.. GB 13!!!Inauma sana,,humu kuna matapeli sana,,
Kuna jamaa alinipiga 5k,alikuja na story ya kukuunga na kifurushi cha internet,,kwa wk unapata gb13..hl tangazo aliliweka kule kwenye teknolojia na kwenye uzi flan hv wa series,,jamaa hadi leo hajaniunga hlo bando,,
Sema utapeli mwingine ni kujitia nuksi tu,,imagine km huyo aliyenipiga 5k au huyo wa 12k,,sasa hzo pesa atatumia kwa muda gani??akijibana sana anaweza tumia kwa siku moja then njaa inarud palepale,,
Utapeli wa namna yoyote ile ni kujitia nuksi,balaa na kujiongezea matatzo tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nshomile bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1036848
If something sounds too good to be true, probably it is....[emoji1787][emoji1787] Pole lakini.. GB 13!!!
Jameniii.. humu atutrasti tu! hamna tapeli wa fweza... labda wa mapenziKumbe na wewe ulishalizwa? Pole sana bro...
Hizo hela zinaonekana kidogo lakini akiwapiga watu 30 si analipia rent. Huyo Mary555 na hizo picha za mtandaoni nzuri lazima atakuwa kaliza wengi tu.
Usirudie tena kuamini watu wa mitandaoni humu hata katika uzi huu !!!
Mna matatizo sana. Raha yote kwetu ma last born bana...Mmh jamani mtuwache sekandi boni..tuko poa tu
Oganaizi hiyo pati pulizi... [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nshomile bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1036848
🤣🤣🤣🤣 Hiyo pati ataandaa Numbisa hiyoOganaizi hiyo pati pulizi... [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahaha kolomije moja hii
Yap,,nililizwa,bt jamaa nilijua amenizima nikampotezea kuna siku nikamkuta kwenye lile jukwaa alikotangazia biashara yake,,nikamwambia hlo bando bado lipo njian,,kumbe kuna raia pia walishamsoma,ilibd apige kimya huwa namuona nyuz mbalmbal na yy anakemea utapel wa humu,,Kumbe na wewe ulishalizwa? Pole sana bro...
Hizo hela zinaonekana kidogo lakini akiwapiga watu 30 si analipia rent. Huyo Mary555 na hizo picha za mtandaoni nzuri lazima atakuwa kaliza wengi tu.
Usirudie tena kuamini watu wa mitandaoni humu hata katika uzi huu !!!
Mi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo pati ataandaa Numbisa hiyo
Hahaha gb 13..nyingi eeh haha[emoji1787][emoji1787] Pole lakini.. GB 13!!!