George Stinney J.r. Huyu alikuwa ni raia wa marekani, ambae ndie Binadamu mdogo zaidi kuwai kuhukumiwa Kifo kwa kunyongwa mpaka kufa akiwa na miaka 14 wakati wa karne ya 20. George Stinney J.r, Ali hukumiwa, Baada ya kuhusishwa katika vifo vya watoto wawili wa kizungu ambao alikuwa akiishi nao jirani na kucheza nao. Watoto hao walijulikana kwa majina, Betty Alie kuwa na miaka 11, na Mary Aliekuwa na miaka 7. Inadaiwa wakati huo mahakama na jeshi lapolisi wote walikuwa ni wazungu kutokana na ubaguzi dhidi ya watu weusi. Miili ya watoto hao ilipatikana nje ya nyumbani kwa George Stinney j.r, ambapo moja kwa moja alishtumiwa kwa mauaji hayo. Kesi yake ili dumu kwa saa mbili baada ya kutiwa mikononi mwa polisi, na kupelekwa mahakamani kwa kushtakiwa muda huo huo, na kuhukumiwa Kifo ndani ya Dakika kumi akiwa mahakamani. Wazazi wake waliondoshwa na kuwekwa mbali naye ,Kisha George alipelekwa Gereza la mbali ,yapata km 80, toka mji Aliekuwa akiuishi. Ndani ya siku 81, katika kusubiri kifochake hakuwaona wazazi wake Wala mwanasheria wake,na muda wote alionekana akiwa ameshika bibilia. Siku ya hukumu ilipofika ,George Ali uliwa katika kiti Cha umeme, ambapo alikufa baada ya kuwekewa umeme wenye Volt 5,380, katika kichwa. Baada ya miaka 70, kupitia katika uchunguzi ,waligundua kuwa wale watoto waliuliwa kwa kupigwa na kitu chenye uzoto mkubwa, ambao mtu mwenye miaka hiyo asingeweza kukinyanyua. Hivyo katika uchunguzi na mahakama walikuja kujua kuwa George hakuwa na hatia. Unaweza uka enda Google,YouTube,Amazon,Wikipedia na site mbali mbali uka mtafuta utapata habari yake kwa kina zaidi, pia vipo vitabu vilivyo andikwa kwa historia yake. Kitabu chake kinaitwa "The greenmile".