mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hivi aina nyingine ya udikteta mzuri kama wa kagameDikteta Mobutu wa Zabanga enzi zakeView attachment 1057370
Kweli kabisaJoseph Mobutu Seseseko Kuku Ngbengu wa Zabanga wa Zaire sasa DR Congo. Alikua nusu mfalme na nusu Rais,
Enzi za Utawala wakeView attachment 1057375
HahahahaEti kamanda mkuu. Wa misambwanda labda [emoji16][emoji16][emoji16]
Habari njema kabisa. Nipo kwenye buffett moja matata sana hapa liwalo na liwe. Sala zenu please [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu naye alitia foraDictator Jean Bedel Bokassa of Central African Republic .
1966-1979View attachment 1057389
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani taifa hatari sanaViongozi wa Afrika. Wanatumiwa na Marekani weeeee halafu wanaishia kutupwa kama takataka. Halafu hawasomi alama za nyakati mapema. Huyu walimtumia kumuua Lumumba kwa hofu ya Ukomunisti, wakaiba madini ya Kongo kwa miaka na miaka na kuifanya nchi yake kuwa kituo cha kupitishia silaha kwenda kwa akina Savimbi na vibaraka wengineo . Upepo ulipobadilika wakamuacha. Sad !!!
Mzee wa mia Tisa itapendeza
Aisee mzuriQueen Farida of EgyptView attachment 1057417
Na kwako piaHappy Sabbath to All Of US
Mtoto wake tajiri sanaDictator Teodoro Obiang Nguema Mbasogo of Equatorial Guinea from 1979View attachment 1057424
Kimbaumbau nao wako vizuri sanaKwa kweli hapana labda tu itokee mambo ya dry spell as in simba akizidiwa...ila kwenye haya mambo you never know. Unaweza ukadatishwa na Kakimbaumbau matata mpaka ukashangaa. Kwema lakini huko?
Yale mabilioni yake yameshakujaYanga wanajipanga kumchagua Dr Shika[emoji16][emoji16] Karibu Dr Shika uifanyie mageuzi Yanga
Mvua imepiga kubwa sana Dodoma
Naona eneo kubwa la nchi imenyeshaUsiku wa mvua kwetu
YapAmani na upendo wetu udumu
Kama fulani hiviOmar Bongo Ondimba.
Kibaraka wa Ufaransa aliyeongoza Gabon kiimla.
Utawala wake wa mabavu haukuwapa watu wake nafasi ya kumkosoa wala kumpinga.
Mwendo wa kumsifia mwanzo mwisho[emoji16][emoji16]View attachment 1057570
Ukitaka kujua ustarabu wa mtu wacha apate pesaMtoto yatima aliyelelewa na watu baki na kukua kwa shida alipokuja kuupata urais yakawa ni yale yale tu. Shwaiiiniii !!!
View attachment 1057601
bill ya kawaida ukichukulia mlikua zaid ya wawili: mtu mmoja hawez tumia huo mchanganyiko wa vinywaji.Nimejikuta mfukoni na hii bill niliipata moja ya chimbo kubwa huko kanda ya Ziwa
View attachment 1033985
Njema pia namshukuru Mungu.Kwema, habari za weekend Bradha
Haya dafi.Siku nikija ntaomba uwe mwenyeji wangu unipeleke sehemu za kupigia picha na za samaki wazuri.Shwari kabisa,mji upo poa sana