Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha huwa nawaona huku nilipo,kuna wale matajiri wa dhahabu,wafabiashara wa dhahabu,,wengi wao ni Wanyantuzu,wana mabinti wazuri na wengi wao weupe wameenda hewani,,harusi zao sio mchezo bro
Majuzi kati nimepita hapo, aisee!! Mji unakua kwa kasi sana, hivi panaingilika kirahisi hapo kimaisha? Nimejikuta nikipatamani bila kujiandaa...
 
Majuzi kati nimepita hapo, aisee!! Mji unakua kwa kasi sana, hivi panaingilika kirahisi hapo kimaisha? Nimejikuta nikipatamani bila kujiandaa...
Panaingirika ankoo,mji unakuwa kwa kasi sana,moja ya wilaya zinazoingiza mapato kwa wingi sana,kuwa njia ya panda ya kwenda nchi jirani kama Rwanda na Uganda unaufanya ule mji ukue kwa kasi sana,,
Cha ajabu unaweza ukapita Shinyanga ukabaki unajiuliza Kahama na Shinyanga upi ni mkoa

Karbu sana Ankoo
 
Hahah!! Jana Kuna sehemu wadau walikua wanajadiri issue ya Madreva na liquid, basi jamaa mmoja akasema eti "Kumtoa msukuma usukumani ni kazi rahisi ila kutoa usukuma kwa Msukuma ndio mtihani"
Hahahah ni kazi kubwa inahitajika kuutoa usukuma kwa msukuma,

Ila acha wabaki hivyo hvyo,wanatuburudisha sana kwa mambo yao

Nachowapendea hawa jamaa ni wakarimu sana[emoji119]
 
Aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…