Kuna page inaitwa simulizitz kule insta ina visa vya ajabu vingine unabaki kushangaa haya mambo yapogo kumbe
NimeelewaNdiyo. Limetoka katika Kilatini (mercatus) likapita katika Kifaransa cha zamani (marché) hilo likachanja mbuga mpaka kwenye Kiarabu (markit) na walipokuja wakaliacha huko visiwani (markiti) japo huku bara tunatumia soko...
Kiitalia ni mercato, Kiingereza ni market, Kihispania ni mercado, Kidachi ni markt na Kijerumani ni Markt. Mzizi ni ule ule japo kuna tofauti za hapa na pale.
TrueNefaaaa....[emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]
One Day Big Ass Would Be Old-Fashioned And Flat Ass Will Take Over [emoji134][emoji124]
Aisee wakati mungine unaweza jishtukia mpaka pozi likaisha, kwa maana dem una mgegeda ye anakuangalia tu hashughuliki.simulizi_tz: Habari simulizi, nahisi girlfriend wangu anatembea na baba wa rafiki yake. Yule baba anamnunulia sana zawadi na Mara nyingi anampigia simu usiku hata saa sita. Nampemda sana girlfriend wangu lakini kila Mara tunapofanya mapenzi haoneshi kufurahishwa na hata zile Sauti za kuonesha kuwa anafurahia tendo hazitoi tena. Atakaa tuu kitandani kama gogo na ananiangalia tuu mpaka namalizia shughuli ila yeye hajigusi yani ni kama hakuna kilichotokea, wakati zamani haikuwa hivo. Ivi inaweza kuwa sababu ameshazoea kutumia mihogo mikubwa zaidi ya wangu? Au ndo hanipendi tena? Nahitaji ushahidi na kama ikiwa kweli nitafanyaje? Yaani mtu anawezaje kutoa sauti zile kitandani kwa miaka miwili halafu akaacha ghafla ndani yq miezi sita? Nisaidieni jamani.
Aiseeesimulizi_tz: Nimeshindwa kulala na mikono yangu inatetemeka samahani sana. Nilikuwa na uhusiano na x wangu miaka kadhaa iliyopita. Ana miaka 62 sasa. Baba wa boyfriend wangu wa sasa ni rafiki wa x wangu. Baba mkwe aliniona na akanitambua nilipoenda kwao kutambulishwa. Nilishawahi kufanya mapenzi na baba yake na Mara nyingine walikuwa wakinichangia na x wangu kwa Mara moja, yaani mmoja atatumia mbele na mwingine atatumia nyuma na watabadilishana hivo hivo, na kuna siku walishawahi kutumia tundu moja kwq Mara moja, najiskia vibaya sana nikikumbuka. Nilikuwa naweza kufanya nao hata wanne kwa Mara moja mpaka wote wanaridhika lakini x wangu ndo alikuwa ananimiliki. Naogopa sana baba mkwe anaweza kumwambia mwanae. X wangu alinisaidia sana na alibadilisha maisha yangu sana kwani nilikuwa na maisha ya hali ya chini sana. Nampemda sana boyfriend wangu na nampemda kama vile yeye ndo kanitoa bikra japokuwa sikuwa bikra ninavokutana nae. Yuko karibu sana na baba yake mpaka naogopa. Nisaidieni jamani nimwwmbie kabla baba yake hajamwambia? Au nimtongoze babaake yake niwe nampa penzi Mara moja moja ili anifichie siri. Msinione Malaya jamani siko hivo naomba tuu mnisaidie nifanyeje
Mmmhsimulizi_tz: Habari simulizi, boyfriend wangu alinipiga Kofi zito sana Jana usiku mpaka nikaona kama nyota fulani kisa tuu anasema nilikuwa nakoroma kwa nguvu. Anakataa kuwa hakunipiga na anasingizia ni ndoto lakini nakumbuka sikuwa naota na alinipiga kweli. Ivi inawezekana nilipigwa na pepo au jini? Nilichoka sana Jana na nililala na nahisi alinipiga kwani alishawahi kusema hivo nilipokoroma siku moja. Nasubiri alale usiku ili nimrudishie alichokifanya aone kofi la kushitukiza usingizini linavouma na nitasingizia pepo au ndoto pia. Nikifanya hivo inaweza sababisha tukaachana?