hahaha utakubali kubebwa?Aliyemchukua carbamazepine aje anibebe na mie
Kwani unatumia simu gani?
Fast Car....Baby Can I Hold You
Tracy Chapman
Yaaaas...Yaaaas!>Manu Dibango,
>Umm Kuluthum
Hatari sanaaaa.Innercircle
Gregory Isaac
Legends wa Africa Musicndio nani hao my brother
Anajua sanaa.Vitu vyake si vya kawaida Mkuu. Mwimbo huu umemtengenezea umaarufu mkubwa sana duniani na vitu vyake vinavyofuata pia ni moto sana. Umaarufu wake umempa solo kubwa kwani kila msanii wake kwa waume wanataka kufanya naye collabo.
Bollocks, aisee this is too bad.