Usilete mambo ya kizungu huku. Utachemsha [emoji16][emoji16][emoji16]Mahari napanga mimi na my future wife Bro, tulia.
Mitaani humo picha kama hizo zipo nyingi [emoji1][emoji1]Aisee hizi picha huwa mnazitolea wapi Wahenga [emoji848]
Wew Unaweza uvumilivu huo, mwanaume apite Kisha bibie ageukeHiyo ni dalili kuwa hujiamini. Mwanamke wa hivyo mi binafsi hanifai [emoji16][emoji16][emoji16]
Wivu ukizidi hugeuka gereza na sumu kali ...Sio kisirani tatizo wivu
Amin,Ndugu zangu muwe na wakati mwema popote mlipo!!Mungu awalinde
Insha Allah!!!
Tena tutapiga stori na kucheka sana. Na atanieleza kwa nini huyo braza amemfanya ageuke kumwangalia....Wew Unaweza uvumilivu huo, mwanaume apite Kisha bibie ageuke
Aisee sisi flat screen naona tuna nuksi ππ
Kwa nini akueleze na wew una wivu Kumbe ππTena tutapiga stori na kucheka sana. Na atanieleza kwa nini huyo braza amemfanya ageuke kumwangalia....