capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mbona kadogo sana, sad!Mhadzabe keshamaliza kazi yake hapo...
View attachment 1070426
Kanatosha kwa dinner au lunch...Mbona kadogo sana, sad!
Haya maisha wanawake wanaishi skuizi ni habari mbaya sana kwa sisi bachelors.
Wabongo mnapenda sana kuwanyanyasa Wakenya Psychologically.Mvua yao imekwama Bongo until further notice.
So you think wanaosoma vitabu wanapoteza muda?🙄Lakini ujumbe ni uleule sio? I prefer Movie inaokoa muda pia wangu
Mbona kama unanichamba? Tatizo lako niniSo you think wanaosoma vitabu wanapoteza muda?🙄
If Novel reading is not your hobby ..it is not sio kwamba it is time wasting!
Halafu the blues wanakuja fortress yetu kipigo kinawahusu hila nyie aise futuhi inawahusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nikumwagie povu au kesho nikakuombee jumapili ya mitende
Hahahaha mchokozi sana wwShwari kabisa kama tiiipiiii mathembe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu niaejeI miss farkhina 😕
Ujampta huyo anaomba viseversaAmen Fragaria [emoji1431][emoji1431][emoji1431]Itakuwa raha sana aisee jiji litalipuka kwa furaha kubwa sana.
Kama wa MU hahahahaMashabiki wa Simba ni kama wa MU. Makelele mno. Wakishinda na Manara wao hatutalala wallahi. I am with you on this one..[emoji16][emoji16][emoji16]