Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu mambo vipi habari za masiku tele wiki mbili zijazo nakuja mkuu kanda yenu nitakucheki tupate mambo yetu vitu vikali
Baridi ya huko blanketi chapa mtu linahusika tayarisha Toto moya matata hivi
 
Nadhani fahari yao ni ile kuona mapembe marefu na ile sauti ya mavyuma wanayo wavalisha shingoni... Sema wale ni ndugu zangu wa damu, nawapenda sana, siwezi kuwatania hata siku moja kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wasu wanapenda ng'ombe ila nyama hata hawali kivile full milenda,matembele
Hii kauli ya huyu memba kidogo nizimie kwa hasira...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…