Wew ni Msukuma mshamba mkuuNadhani fahari yao ni ile kuona mapembe marefu na ile sauti ya mavyuma wanayo wavalisha shingoni... Sema wale ni ndugu zangu wa damu, nawapenda sana, siwezi kuwatania hata siku moja kwa kweli.Hii kauli ya huyu memba kidogo nizimie kwa hasira... View attachment 1070505
Nakuita akiwa hayupoUkiniita mzee utagombana na Malkia wangu the one and only
Miss sana ISIS
Huyu ni mwakaleli pyuuuaaaWew ni Msukuma mshamba mkuu
Nilisema kitu juzi ukaniambia eti nimekata tamaa. We have issues almost kila mahali top to bottom. Tunaanzisha vitu. Vingine ghali kweli kweli lakini hakuna hata kimoja kinachokwenda sawa no matter how critical it is. Angalia mwendokasi. System muhimu kabisa yenye potential kubwa ya kurahisishia watu usafiri na kupunguza msongamano. Hovyo tu...Sad...Kabisa..utajikuta ndani tu.. we unafikiri umeripoti kwenye system
Mambo haya ni privacy naheshimu kanuni na sheria za JF tugonge likes tu hapaUlikutana na wanao uza
Mbona kwa wamasai hawaishiSasa ukiwa unawachinja kila siku ng'ombe si wataisha duh! Is this Rocket science?
Hahahahaha, inaonyesha una watani wengi huko[emoji16][emoji16]Yaani wakiwini nazima whatApp kwanza!
Ha hahNadhani fahari yao ni ile kuona mapembe marefu na ile sauti ya mavyuma wanayo wavalisha shingoni... Sema wale ni ndugu zangu wa damu, nawapenda sana, siwezi kuwatania hata siku moja kwa kweli.Hii kauli ya huyu memba kidogo nizimie kwa hasira... View attachment 1070505
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi yawe manne au matano kabisa
HahahahahaMimi hafu kasti.. leo nipo kwenye kasti nyingine
Mkuu mmoja nilikuja kumfundisha forex ikawa forexxxxxxxxx foreverYaonekana. Walimtoa dolla...
Poa niunganishe nao Dollar za kutosha ninazo 😎Mambo haya ni privacy naheshimu kanuni na sheria za JF tugonge likes tu hapa
TRM wenzio huwa wanajificha ficha angalau. You are bold. Wakupe ukatibu mkuu wa TRM aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]Wew ni Msukuma mshamba mkuu
Leo tutaota hao snakes...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]