Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[/SPOILER.
 
Code:
Tumia faundesheni inayofanana na rangi ya ngozi yako
Ingawa kupata faundesheni inayofanana na ngozi yako ni ngumu, hasa kwa wanawake weusi zaidi, wanawake wengi wanapata shida na kukubali rangi ya kiasili na wanajaribu kutumia vipodozi kubadilisa rangi yao.
Suluhisho:
Kubali rangi yako ya kiasili
Rangi yetu inaweza ikawa mweusi au mweupe zaidi kutegemea na msimu. Kwa hiyo ni bora kuwa na faundesheni inayoendana na mabadiliko  hayp
.
 
Nyusi
Kuna tabia ya wanawake kunyoa nyusi zao sana, na wengine kuzitoa kabisa. Alafu, wanaishia kuzichora na rangi nyeusi.
Hii inamfanya mwanamke kuonekana kama kikatuni.
Sasa:
Badala ya kunyoa nywele zote, zipunguze kwa kiasi kidogo
Usituimie rangi nyeusi kuzijaza. Tumia rangi ya brauni
Kwa muonekano wa kiasili zaidi, tumia nyusi, poda ya nyusi au gel badala ya penseli.
 
Tumia faundesheni inayofanana na rangi ya ngozi yako
Ingawa kupata faundesheni inayofanana na ngozi yako ni ngumu, hasa kwa wanawake weusi zaidi, wanawake wengi wanapata shida na kukubali rangi ya kiasili na wanajaribu kutumia vipodozi kubadilisa rangi yao.
Suluhisho:
Kubali rangi yako ya kiasili
Rangi yetu inaweza ikawa mweusi au mweupe zaidi kutegemea na msimu. Kwa hiyo ni bora kuwa na faundesheni inayoendana na mabadiliko hayp
 
Usitumie poda asana
Wanawake wengi wanfikiri kwamba kutumia poda nying ndio kupendeza zaidi. Matokeo yake, wanaishia kufanana na jinni.
Suluhisho:
Tumia poda inayofanana na ngozi yako
Usiweke poda nyingi. Kiasi kidogo kitakutosha
 
Kanirapua la uso hadi nimeona nyota. Nataka nimuulize yeye kabila gani, asije akawa mnyaki, nitazimia... Maana ile methali isemayo nyani haoni nini sijui itakuwa imetimia....

Hongereni simba kwa gori la mapema... Reo ndio reoooooo...
TRM wengi huwa hawapendi makabila yao kujulikana. Ni kiongozi wao peke yake ndiye alikuwa jasiri. Wengine wanaogopa. Ai wanda whai [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ajitahidi aumalizie kama bado haujakamilika
 
Tumia kope bandia kwa usahihi
Wanawake wengi wanatumia kope bandia zisizo na ubora. Matokeo yake wanafanana na dolli ya mtoto.
Suluhisho:
Badala ya kutumia kope bandia, nunua wanja nzuri inayonyoosha na kunenepesha kope zako
Nunua kope bandia zenye ubora (zilizotengenezwa na nywele za binadamu au yalisanidiwa)
Jifunze jinsi ya kuweka kope bandia kwa usahihi.
 
Jifunze kuweka jicho la paka kwa usahihi
Jicho la paka ni njia moja ya kuongeza umaridadi kwa sura yako na kuvutia zaidi. Ila, wanawake wengi wanakosea kuiweka.
Suluhisho:
Ni bora kutumia liner ya maji au mafuta kuliko kutumia penseli kama huna ujuzi wa kutosha
Jifunze kuchora jicho la paka
 
Matatizo ya nyusi…tena
Wanawake wengi wanatumia konsila kwa nje ya nyusi zao. Tatizo linakuja pale ambapo konsila iliyotumiwa haiendani na ngozi yao. Hii inafanya konsila hiyo kuonekana sana, kwenye picha haswa!
Suluhisho:
Tumia konsila inayoendana na ngozi yako
Hakikisha una changanya konsila kwa kutumia burashi, ili ijichangaye vizure na ngozi/faundesheni yako
 
Eyeshadows
Wanawake wanatumia eyeshadow zinazo ng’aa au za rangi kali. Zaidi ya hapo, hawazichanganyi vizuri.
Suluhisho:
Tumia eyeshadow za rangi ya dhahabu, brauni au zambarau
Jifunze jinzi ya kuweka eye shadow vizuri, zikiwemo
Rangi ya highlighter yakuweka chini ya nyusi zako
Rangi ya msingi ya kuweka
Rangi ya mpito
Rangi kuu ya eye shadow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…