Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

OGS must go hakuna namna
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi kuna mfitin ndani ya huu uzi si mchezo shuaini zake anayeona numby anafaidi sana kukaa ndani ya uzi pendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miss sana manyoka nyoka toka kwa malkia wangu
 
Kweli ankoo?!!
Namjua BAK ni mwaka wa nne sasa, sio wa kukaa na mambo kifuani, sijui mlipishana wapi?! Nakumbuka mlikutana KT na mliyamaliza kabisa, nini mbaya tena...
Itakuwa ni kwenye siasa labda. Nahisi ni ile ishu ya zamani wakati ule. Hata mimi bado nipo kwenye iginoa listi ya BAK tangu wakati uleee. Halafu mimi sijui nina bahati gani. Ni vigumu sana kumaliza mwezi bila kuchezea iginoa listi ya mtu humu. Sijui huwa nakosea wapi. Kwa malkia huwa nawekwa natolewa narudishwa tena halafu natolewa ali mradi shida tupu indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki izi mai home japo sasa nimehamia Dubai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

Poti anamwaga mauzoefu na maexipirience yake hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweliii,sijui nimeharibu wapi aah tatizo nna ligi nyingi mno
Nami niulize. Nachezea iginoa listi yako ama? Likes zako tangu juzi ni za shida kweli. Nijulishe kama umenitupiako nianze jitihada za kujitoa. I talk too much...sema tu kama anavyosemaga jirani kila mtu ana umuhimu wake na kila mtu ni unique in his own way. Kamwe hatutaweza kufanana hata tujaribu namna gani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…