Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Astaghafurai! [emoji1][emoji1][emoji1]
Nguruwe wako compatible sana na binadamu. Hata majaribio ya kukuza nguruwe kwa lengo la kuvuna viungo vyao baadaye na kuvipandikiza kwa binadamu yanaendelea vyema. Majaribio ni mazuri zaidi upande wa moyo na wanasema within 5 years ukihitaji moyo mpya si ajabu utawekewa wa nguruwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…