Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa kamanda, ila wawe wanachinja angalau mara 1 kwa mwaka.
Mwaka jana Mkoani Morogoro wafugaji wengi walipoteza mifugo yao kwa ukame, wangechinja au kupunguza mifugo yao kwa kuwauza nadhani wangepunguza hasara waliyopata. Ni vile wanapenda kuwalimbikiza wanyama kwa ubahiri[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo ubahiri. Ng'ombe ndiyo kipimo cha utajiri wao. Ni sawa na kumwambia mtu mwenye mabasi 50 eti awe anagawa basi moja kila mwaka. Haiwezekani aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…