Eti kisindikizio.. kachumbari imekuwaNi kisindikizio. Unakula halafu unakituliza na kaugali [emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseee jambo linalonishinda ni kunywa mafuta uwiiii siwezi kabisa
Hahahahah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kamanda wetu ameshikwa pabaya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kabisa bro. Miezi sita huo ni Usukuma aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] week moja takatifu inakutosha