Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu ana mimba changa anakunywa MAFUTA kisa kapewa na nabii. Mafuta yananywewa?
Nini mafuta kuna kideo nimekiona watsupu ujinga mtupu eti jamaa kakaa juu ya kiti kirefu watu wanapita mmoja mmoja jamaa anapewa kopo la maji ananawa uso kichwan kwa mtu na miguu ananawa kichwa kwa mtu eti uponyajii halafu ni wahind na waafrika humo humo
 
Arsenal ilikuwa tayari imeshajipigia Napoli 2-0 kwenye mechi ya kwanza uwanjani Emirates na hapo walikuwa wakiongoza 1-0 huku Napoli wenyewe wakionekana kupiga pasi tu zisizokuwa na maana jambo lililomfanya Monreal kutokuwa na hofu ya kutoka uwanjani kwenda chooni kujisaidia na kisha kurudi tena uwanjani kuendelea na mchezo.
 
Hiyo pia nilishaiona. Kuna yule wa Brazil alikuwa anawanywesha manii zake...na wanakunywa kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…