Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mabadiliko ya tabia nchi ama? Hivi vimbunga vilikuwepo hata zamani?Wakazi wa Mtwara wakijihifadhi mahali kusubiri ujio wa mgeni KennethView attachment 1081178
Hahahahaha, kipigo[emoji16][emoji16][emoji16]Ukiona hivyo kwanza huyo mtu hajiamini. Ana inferiority complex. Hata kama awe na cheo kikubwa kiasi gani psychologically s/he is vulnerable na ukiwa "mkorofi" kama mimi basi unaweza kucheza naye vizuri sana japo pia unaweza kuishia kuambulia kipigo cha kufa mtu na kujikuta Segerea [emoji16][emoji16][emoji16]
Papy Faty mchezaji wa kiungo raia wa Burundi aaga Dunia nchini Swaziland akichezea timu yake ya Malatini Fc.
Papy Faty ambaye pia huchezea timu ya taifa ya nchi hiyo INTAMBA MURUGAMBA amefariki jioni hii nchini humo.View attachment 1081168
Kipigo na vitisho ndiyo silaha pekee ya watu wa aina hii. Ukijichanganya kipigo chake mbwakoko ana unafuu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha, kipigo[emoji16][emoji16][emoji16]
Wabadirishe!!?Mabinti wangapi hapa mnaweza kubadilisha tairi mkipata pancha?
View attachment 1080937