Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weekend hii nadhani imeniijia vibaya, nagawanwa kama mpira wa kona! [emoji24][emoji24]
Kuna faili moja la siri limenifikia hapa katika ofisi zetu za CHACHAWA linatilia shaka sana ugumu wako. Itabidi niitishe mkutano wa dharura kwa bodi nzima ili tukuondoe kwenye uenyekiti wa hiki chama chetu kitukufu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…