mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha pole sanaHapa tunataniana tu kama kawaida yetu kamanda...
Kuna jamaa alikurupuka huko akanitaja kama kilinganishio cha mhusika (Msukuma) wa US Baby...[emoji16][emoji16][emoji16]
Basi Davet ndiyo akaamua kunisurubu. Nimeteseka sana !!!
Bro kuona UbuyuKhaa bro hujawai kuiona kumbe ipo kitambo sana.
Hahahaha hapo tulipofikia nikuombeana mabaya tuHahah basi Liver anamuombea mabaya City wakati yeye bado ana hawa jamaa
Amun RaWagonjwa Mungu awaponye
Aisee maisha yanakwenda kasi sana
Dodoma foleni naona zimeanzaPoleni mlio kwenye foleni za daladala
Amun Ra16:41
CR7 is the best [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Messi is great
Hawa burnley mbona wanasachiwa lakini hawafunguki
Yaani hata siwaelewi kabisaSijui ni laana au nini?
HahahaBongo movie
Amun RaKila mtu amepewa baraka za kipekee na Mungu ila wengi wetu hatunzioni baraka zetu kwa sababu tumakazia macho yetu katika kuangalia baraka za wengine.Jioni njema wapendwa.
Halafu nimekuta imeondolewa. Nimekosa limguu dah [emoji16][emoji16][emoji16]Khaa bro hujawai kuiona kumbe ipo kitambo sana.
Hahahaha umeruka kimangaYa xul hayakua mabovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sorr hii ni una maanisha ni "Ameen"Amun Ra
Hahah bro hana hiyo mood leo hivyo tunaweza kupishana 😁Chimbo lipo poa bro,,nakuona unavyoficha mafaili ya watu,,unatuangusha bro wanachama hai wa TRM hatupo hvyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,shusha nondo hzo za bro
Na maanisha asili yake mkuu,mwanamke ana nafasi yake kabsa ,agree or notWanawake ni wanawake tu una maanisha nini mkuu?
Kwa Mange haipo imeondolewa...Zari ana video yake alijirecord ya uchi [emoji23][emoji23][emoji23]