Hamna sidhani, labda kama ananichezea akili π na awe na ID mbili.Itakuwa ndio mimi [emoji3][emoji3]
π€Hamna sidhani, labda kama ananichezea akili π na awe na ID mbili.
Siku unaendelea vyema karibu kupalilia nanasi
Ahsante sana, umenishtukiza naomba ukikaribia kuvuna uniambie mapema π.Siku unaendelea vyema karibu kupalilia nanasi
Hahaha wew shida hutakiAhsante sana, umenishtukiza naomba ukikaribia kuvuna uniambie mapema π.
Umenishtukiza kama vipi nije kesho, hhahahaHahaha wew shida hutaki
hahahahahhhaaha, hizi mambo tunacheka ila hali ni mbaya sana nowadays.
Itabidi nisome magazijuto: Nimetumia calculator nafikir nimepata leo: 23
We sio mkulima yaani unachagua siku za kulima πππUmenishtukiza kama vipi nije kesho, hhahaha
Hamna, wewe nikikuambiwa uje huku sasa hivi tuanike michembe utaacha hayo mananasi uje?We sio mkulima yaani unachagua siku za kulima πππ
AMUN RA