mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Jose ni kichwa asingekosa top 4Mimi sikutaka Jose afukuzwe kabisa lakini wapenda mihemko walipenda alivyofukuzwa
Sina ubishi juu ya Messi ni mchezaji bora wa karne kwanguMimi siku ile Messi anafunga goli la free kick kabla ya kupiga ulikuwa ukimwangalia alikuwa na uchu sana wa kufunga na alifanya hivyo kwa sasa Messi at his best there is no man can stop him
Mashabiki bhana
Kutumia pesa ni muhimu sana kwenye usajiliUjue United itakiwa kubomolewa kabsa,pale kuna wachezaji bado wa Mzee Furgson aliowaacha bado wanacheza,kuna wachezaji wa makocha hawa Moyes,Van Gal, Special One,,sasa wote hao wakichanganyikana kujua pumba na mchele ni ishuu
Mfano mzuri,,Pep alipokuja City,ule msimu wa kwanza alitumia kuisuka timu,zile pumba zote akawa anazimwaga moja baada ya nyingine wale kina Zabaleta na wengineo,,,leo hii City inakikosi kipana ni wachezaji wachache aliowakuta na bado wanapewa namba kwenye kikosi chake..
Tatzo la United ni Ed Woodward hatoi pesa ya kutosha kufanya usajiri wa maana na bado tunataka mafanikio ya haraka ili hali timu yetu mbovu.
Tulishindwa kuifunga Man u ilichoka nilichukia sanaKabsa,ni mahesabu tu Klop yamemchenga
Anakwenda top 4Arsenal na yeye anaenda wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1088983
2 points onlyWaliokalia kiti chetu wajiandae kuinuka [emoji1787][emoji1787]View attachment 1088985
[emoji818][emoji818][emoji818]
Upo NtoliloLakini, ripoti za kutoka Hispania zinadai kwamba huko kwenye vyumba vya kubadilishia vya klabu ya Real Madrid mambo yamekuwa tofauti kwamba kuna wachezaji hawataki kumwona kabisa Pogba kwenye timu hiyo
Nipo ben ten wa isis ,mzima?Upo Ntolilo
Kweli..Kila kitu Mungu anapanga?