Kwenye ubuyu napo huwa kuna majanga ujueNi bora kuwa mpenzi wa Ubuyu kuliko football
Haya ni maneno ya wapenzi wote wa mpira mambo yakiwa magumuGame imenifanya nipunguze mapenzi na mchezo wa Mpira
Saivi nnaanza kupata wasiwasi inawezekana siyo yeye, ni ngumu kuamini lkn inawwzekana ikawa hivyo.Nimeshaipata
Hilo limeigharimu Barcelona.Bro ake bro bana. Jana mliwadharau liver hasa baada ya kuona salah na firminho hawapo,mkawachukulia poa
Haya ni maneno ya wapenzi wote wa mpira mambo yakiwa magumu
Mbegu gani hii?
Hivi maanake ni nini[emoji23][emoji23]View attachment 1090569
Shwain zakeKabisa, walidhibitiwa kila idara.
Hata hivyo kulikuwa na ulazima wa kocha wao kubadili mbinu lakini hakufanya hivyo.
Kasema sura yake lakini kichwa sio chake πππGT amesingiziwa [emoji1787][emoji1787]
Bro utatunyanyasa sana πVumilieni tu msimu mwingine utaanza August mwaka huu, imebaki miezi 3 tu, mtaonyesha uwezo wenu tena[emoji1787][emoji1787]
Hongera!! Rahatupika, muone faza herdsman anakata mbuno zake.Nimeshaipata
Basi wacha niwe shabiki wa video yetu inayotrend sasaKwenye ubuyu napo huwa kuna majanga ujue
Tatizo ila sauti iliyosema Asante baby ni yake kabisaSaivi nnaanza kupata wasiwasi inawezekana siyo yeye, ni ngumu kuamini lkn inawwzekana ikawa hivyo.
Inachosha hata hajaonyesha naniiiiiiii hahahaaBasi wacha niwe shabiki wa video yetu inayotrend sasa