capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Okay,Ngoja nitamtafuta nimuulize nikishafuturu maana anadistrakti sana asije niharibia funga yangu
Kwa imani zetu hizi kama chembe ya Aladani 😀😀Hakuna Iman isiyo jaribiwa 😀 😀
Just get Over it
Ha ha ha hili limesound poa zaidiNi esta[emoji23][emoji23]
Nmeona apple PC tu sijui wenzangu wanaona nini hapo?
Duuu, kitambo sana.
Dawa ya uhenga hiyo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Wakuu mkawe na Afya na Uzima tele
View attachment 1094031
Ujumbe huu ni wa Binti Mpole nimempigia simu yake haipatikani [emoji1549][emoji1549][emoji1549]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikiwa hivi,ntahamia Sunderland bro[emoji23][emoji23]Wakuu mkawe na Afya na Uzima tele
View attachment 1094031
Ujumbe huu ni wa Binti Mpole nimempigia simu yake haipatikani [emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Unataka kusema mrembo wng hujamuona hapo?Nmeona apple PC tu sijui wenzangu wanaona nini hapo?
Mwifwa nae kaoa jamani 😀Mke wangu hapendi tendo la ndoa, ndoa yangu ipo matatani. Nisaidieni.
Kabla sijamuoa mke wangu, nilimueleza udhaifu wangu wa kupenda tendo la ndoa kupita kiasi na alikubaliana na huo udhaifu wangu. Alikuwa ananipa unyumba kadri nitakavyo kulingana na huo udhaifu wangu, hadi ikafika wakati nikakinai kupokea hiyo huduma ya unyumba. Muda ulipotimia, nikaamua kumuoa...www.jamiiforums.com
Zile dash dash nyeupe chini maana yake nini
Nimeshangaa na mie hahahaMwifwa nae kaoa jamani 😀