Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana tupo aina tofauti tofauti.
1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamilika.
______________________________________
 
Tuwekee na ya ME sasa Mkuu.

 
#Habari:Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,January Makamba amesema mpaka sasa makampuni matatu yamepatikana kwa ajili ya kukusanya mifuko ya plastiki wakati wa kutekeleza zoezi la marufuku ya mifuko ya plastiki hapa nchini kuanzia tarehe moja mwezi wa sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…