nicca frm nowhre
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 394
- 1,518
mara yangu ya kwanza kuweka avatar ya mwanadamu ambaye si mkorea tokea nijiunge jf kama nitakuwa nipo sahihi
masai baby.
kuna watu mungu amewaumba weusi sana kama makaa ya mawe (mungu nisamehe kwa kuingilia uhuru wako)
#Habari:Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,January Makamba amesema mpaka sasa makampuni matatu yamepatikana kwa ajili ya kukusanya mifuko ya plastiki wakati wa kutekeleza zoezi la marufuku ya mifuko ya plastiki hapa nchini kuanzia tarehe moja mwezi wa sita.
Siku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana tupo aina tofauti tofauti.
1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamilika.
______________________________________
βͺMwanaume wa Colombia Jairo Vargas amekubali kukaa uchi juu ya gari la Mke wake na kutembezwa mtaani kama sharti alilopewa na Mke wake ili asamehewe baada ya kufumaniwa hotelini akichepuka na Mwanamke mwingine.
Nakutesaga sana bro. Ila kuna kuna kafuraha fulani hivi huwa napataga. Nisamehe bro [emoji16]
Vipi hedeki ya jana imeachia?
Nakutesaga sana bro. Ila kuna kuna kafuraha fulani hivi huwa napataga. Nisamehe bro [emoji16]
Vipi hedeki ya jana imeachia?
Usikonde bro
Jana nilikimbia hospital bhana na Mungu akawapa wataalamu uwezo wa kunisaidia hivyo nipo sawa sasa
Field marshallView attachment 1111286
The real nduli. Wengine photocopy tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchana Mwema kwa wote
Mbunge aitaka Serikali imfahamishe lishe bora ambayo itamfanya awe na kitambi!
Hivi tofauti na kombe zawadi ya bingwa ilipatikana?
πππ Utamuweza huyu mzee wakuzipandia ndegeWatani wa Jadi..